Huwa ni kawaida mimi na mke wangu kutoka asubuhi na kuelekea kwenye
mitikasi yetu kazini na kumuacha dada wetu wa kazi hapo nyumbani, ni
binti safi na anaonekana mwenye kujiheshimu sana.
Siku moja mke wangu aliwahi kidogo kutoka kazini kwani hakuwa akijisikia
vizuri, alipata ruhsa na kurudi nyumbani alipofika alimkuta dada wetu
wa ndani na mwenzake dada wajirani yangu ambaye pia namfahamu.
Haikuwa tatizo sana kwani walikuwa kwenye hali ya kupiga tu story na
vicheko vya hali ya juu sana. Basi niliporudi nyumbani mke wangu
alinihadithia hiyo hali lakini niliona hakuna tatizo kwani pia namfahamu
kuwa ni dada wa jirani angu.
Siku nyingine ilikuwa majira ya jioni mke wangu simu yake ilikuwa haina
charge tena nakumbuka siku hiyo umeme ulikuwa hakuna, na alikuwa na simu
ya muhimu ya kupiga alimuomba dada wa kazi simu yake ili aweza kufanya
mawasiliano. Dada alimpa mke wangu ila alikuwa ni kama mtu ambaye hakuwa
na amani kabisa.
Mke wangu alichukua simu na kuweka line yake na kufanya mawasiliano.
baada ya kumaliza tu kwanza alikuta na picha imewekwa kama screen saver
ambayo ndio hiyo hapo juu . Picha yeye akiwa uchi na mwenzake yule dada
wa kazi wa jirani akiwa nyuma yake. Roho ikamuambia aingia kwenye
gallery yani upande wa picha.
Hakuamini macho yake pale alipokutana na picha za wadada hao wakisagana,
picha za uchi zilikuwa zimejaa kwenye simu hiyo. Alichukua simu na
kunionyesha uchafu huo. Mpaka sasa hivi nipo kimya sijamuuliza chocho.
NAOMBENI USHAURI WADAU NICHUKUE HATUA GANI?
Post a Comment