Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akizungumza katika kikao cha viongozi wa dini cha mashauriano
kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius
Nyerere jijini Dar es salaam jana.
Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akizungumza katika kikao cha mashauriano cha viongozi wa dini
kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifafa cha Julius
Nyerere jijini Dar es salaam Februari jana. Kulia ni ni Sheikh wa Mkoa
wa Dar es salaam ,Alhad Salum Musa.
Baadhi ya washiriki wa
Mkutano wa viongozi wa dini wa mashauriano uliofanyika kwenye Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
jana.
Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Asha Rose Migiro
katika mkutano wa mashauriano wa viongozi wa dini uliofanyika kwenye
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere mjini Dar es
salaam jana.
Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini baada ya kuzungumza
katika mkutano wao wa mashauriano uliofanyika kwenye kituo cha Mikutano
cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana.
Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini mara baada ya
umalizika kwa kikao chao kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha
Kimataifafa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari jana.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment