Kwa kile kinachoonekana kufurahia ujauzito alionao Zari, Diamond
muhusika wa ujauzito huo hakusita kuonyesha furaha yake hadi ameanza
kununua vitu vya kuchezea (Toys) vya mtoto pindi
atakapozaliwa.......Amendika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram:
"
Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy vya kuchezea..."
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment