Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Pentzel.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao waliachana baada ya
kutuhumiana kutoka nje ya ndoa yao, jambo ambalo baada ya kuvumiliana
kwa muda mrefu, hatimaye wameamua kubwaga manyanga.Inadaiwa kwamba kwa zaidi ya miezi miwili iliyopita, mume alikuwa ameshahama nyumbani kwao Mbezi kwa Msuguri walikokuwa wakiishi na kuhamia Ilala na Kijitonyama kwa ndugu zake.Baada ya taarifa hizo, gazeti hili liliwasiliana na Gadna ambaye alisema:
“Ni kweli tuna wiki kama mbili tatu hatupo pamoja, kuna mambo tumeshindwana, na kweli nimemwandikia talaka na kila mmoja sasa anaishi kimpango wake,” alisema Gadna.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment