Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KIPINDI CHA ME & YOU WITH LOVE: AMANDA-NAPENDA MWANAUME ANIBUSU SHINGONI (PART- I)

 

Mtangazaji wa Kipindi cha Me & You Love, Shorvieny Mohamed (kushoto) kupitia Global TV Online akiwa katika pozi na mwigizaji mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh 'Amanda' kabla ya kuanza mahojiano.
 
 Tamrina Posh 'Amanda' akiwa katika pozi wakati wa mahojiano.
KIPINDI kipya kutoka Global TV Online cha Me & You Love with Love kwa mara ya kwanza kimeanza kuonekana hewani kuanzia leo Alhamisi Februari 12, 2015. Kipindi hiki kinachotangazwa na Shorvieny Mohamed kitakuwa kikiwaunganisha mastaa, watu mashuhuri, wanasiasa na wengine wengi kuongelea uhusiano wa kimapenzi.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top