Wolper aliandika ” Nawapenda sana Bongo Movie lakn chakusikitika vile vichwa mnavyoviamin kwenye tasinia ndo masnch wakubwa simtoke huko tafuteni kAzi nyingne km amjasoma kma mm jifunzeni kushona nguo kma mm me sahv na fund wangu mgece naingia class asubuh najion nimeshachoka kutumikishwa na Wahnd ..kipaji changu kingne mitindo so najisogeza kwenye mitindo Mbali mbali syo kubanana sehem ambapo ampendani kazi majungu nakusnchiana kila sku .. Nawahnd awatetereki Maana hao Mnaowaita magwiji ndomsatar wambele kukandamiza .. sasa sjui lengo nn kupata wao tuu au basi tuu roho mbaya..Nikipata Majina yao yote nitawawek na Mapicha yao..siongei kma movie star Naongea kma Mwananch nayependa snaa iliyonishinda nakujitoa bila Matangazo..i hate u wanyonyaji nawachukia saaaaana ”
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment