Muonekano
wa nyumba baada ya kibatari kulipuka na kupelekea watoto wawili wa
familia moja kufaliki dunia wakiwa ndani ya nyumba hiyo leo kijiji cha
Mbela Wilayani, Misungwi mkoa wa Mwanza.
Mmoja ya watoto hao baada ya kuteketea kwa moto.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
Mtoto akifunikwa na kanga baada ya kupoteza maisha.
Wananchi wakiwa katika hali ya huzuni mmoja wao wa pili kutoka kulia mbele akiwa amembeba mtoto aliyejeruhiwa na moto huo.
...Wakiendelea kushangaa katika eneo la tukio.
WATOTO wawili wa familia moja, mmoja wa kike mwenye
umri wa miaka minne na mwingine wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja
wameteketea kwa moto na mmoja kujeruhiwa leo baada ya kibatari kulipuka
na kuteketeza nyumba kijiji cha Mbela wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment