Featured

    Featured Posts

    Udaku

    Social Icons

    Udaku

Loading...

WASTARA AMPIGA MSASA BONDI

BAADA ya tetesi kuzagaa mitaani kwamba wasanii wa filamu Bongo, Wastara Juma na Bondi Bin Salim wanatoka kimapenzi, bidada huyo ameibuka na kufunguka kuwa bado hajamkubalia jumla Bondi kwani bado anamchunguza.
Wasanii wa filamu Bongo, Wastara Juma na Bondi Bin Salim.
Akipiga stori na paparazi wetu, Wastara alisema anamrekebisha baadhi ya vitu ili aweze kuwa wake na kama hatabadilika, atampiga chini.
“Bondi ninamchunguza kwanza na kumpiga msasa awe wa tofauti na alivyokuwa zamani sijamtangaza rasmi kwa sababu kuna vitu bado sijajiridhisha kwake na naendelea kuvifanyia kazi nikijiridhisha basi ndani ya mwaka huu nitamtangaza rasmi,” alisema Wastara.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright 2025 BONGO HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top