Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TAZAMA AKAUNTI KIBAO ZA LULU NA ZINAPOST PICHA ZA UTUPU, LULU AFUNGUKA

 



Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’. 


Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’.amesikitishwa na watu wanaotumia akaunti 
fake za mitandao
ya kijamii yenye jina lake na kuchangisha michango kwaajili ya mfuko wa marehemu 
Steven Kanumba kwa madai kuwa wanasaidia wasiojiweza.
 
Akaunti feki ya Lulu katika mtandao wa kijamii wa Instagram.
Baadhi ya matukio yaliyotupiwa katika akaunti hiyo feki.
Kupitia Instagram, Lulu amesema:
“Dah sijui niseme vipi…hizi facebook accounts sio zangu…kama huyu anaomba michango eti…dah the same account ipe post video ya ex…..na ziko account nyingi sana….now mm sina account yoyote facebook nina fan page moja tu ELIZABETH LULU MICHAEL….kwahiyo kuweni makini na hao matapeli…na nyie mnaotumia jina langu vibaya I thnk it[s time to leave me alone…kwa hayo mapenzi ya kutumia jina langu ovyo nimeshindwa mm…..”
 USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top