Penzi lilipo baina ya Dj
wa msanii Diamond Platnumz, Romeo Jones na Tuerny ambaye anafanana sana
na Wema Sepetu ni la wazi sana na imefikia hatua hata wao wenyewe
kuachia picha zao wakiwa sehemu za faraga na hata zile za screen saver
kama alichofanya Romeo kuweka picha ya mpenzi wake na kupost kwenye
social networker.
Picha yao iliyovuja wakiwa chumbani iko hapa chini
Wengi wamekuwa hawamfamu
Tuerny lakini historia fupi ni kwamba miaka ya nyuma alikuwa mpenzi wa
Romeo lakini alimwacha na kwenda kuolewa marekani ila haikuisha mwezi
akaachika na kurudi bongo na alivyorudi bongo wakarudiana na mpenzi wake
wa zamani Romeo jones na ushahidi wa video iko youtube iko hapa chini
na kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment