  | 
| Mwigulu Nchemba na Zitto Kabwe Wakiteta Jambo | 
Mheshimiwa Rais mtarajiwa Mwigulu Nchemba aka KIKWETE WA PILI, jana 
alipoulizwa na Salama kwenye kipindi cha Mkasi kuhusu mwanasiasa gani 
kijana anayempenda Tanzania, alimtaja mshirika wake, yule kijana 
aliyetuhumiwa kushiriki kwenye njama za kukipakazia CHADEMA ugaidi ili 
kife kabla ya 2014, Mh ZITTO KABWE. Ila akaonya urais asubiri kwanza.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI 
Get Free Email Updates to your Inbox!
 
 
Post a Comment