Askari
wa Kikosi cha zima moto wakiendelea na zoezi la uzimaji moto katika
ghala la kuhifadhi rangi za kampuni ya Colar Paint lililopo katika Mtaa
wa Kenya, Kijitonyama usiku wa kuamkia leo. Chanzo cha moto huo
hakijafahamika mpaka sasa na eneo kubwa la ghala hilo limeteketea kabisa
kwa moto huo hakuna mtu yeyote alieripotiwa kupoteza maisha au
kujeruhiwa katika moto huo. Sehemu ya Maduka yaliyokuwa yamezunguka nje ya ghala hilo kama yanavyoonekana,hakuna alieweza kuokoa chochote.
Post a Comment