GloZell baada ya kupata taarifa za kumfanyia mahojiano Rais Obama.
MKALI wa You Tube na Mchekeshaji Maarufu (Comedian), GloZell Lynette
Simon, hivi karibuni alipagawa baada ya kuambiwa kuwa atamfanyia
mahojiano Rais wa Marekani, Barrack Obama.GloZell ambaye ni raia wa Marekani mwenye umri wa miaka 52, amejipatia umaarufu sana kupitia kazi zake za muziki, Vichekesho na video zake kwenye mtandao wa You Tube ambazo zinaangaliwa sana.
GloZell akimfanyia mahojiano Rais Obama.
Mwezi huu, GloZell amemfanyia mahojiano Rais Obama kupitia
'livestream' ya You Tube, mahojiano yaliyofanyika Ikulu ya White House,
Marekani.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment