Mali wakipambana na Guinea.
TIMU za Mali na Ivory Coast nazo zimefanikiwa kutinga hatua ya Robo
Fainali ya Kombe la Mataifa Afrika 2015 kutoka Kundi D huku Guinea na
Cameroon wakiyaaga mashindano hayo.Kwa matokeo hayo Mali na Ivory Coast zimeungana na Ghana, Algeria, Congo, Equitorial Guinea, Tunisia na DR Congo katika hatua ya robo fainali.
Katika hatua hiyo ya robo fainali, DR Congo watavaana na Congo, Tunisia na Equitorial Guinea, Ghana na Mali huku Algeria wakikipiga na Ivory Coast.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment