MIEZI michache tangu ahamishie makazi yake nchini Afrika Kusini, modo aliyetikisa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu kutokana na kudaiwa ‘kujiuza’ kwa njia ya mtandao nchini humo.
“Ukitaka kuthibitisha hilo ninalokwambia,
ingia katika akaunti yake utaona picha kibao za kihasara akiwa
hotelini, kama siyo kutuaibisha na kujiaibisha mwenyewe ni nini?”
kilihoji chanzo chetu.
Agnes Gerald ‘Masogange’ akipozi.
Baada ya chanzo hicho kuvujisha ubuyu huo, paparazi wetu aliingia
kwenye akaunti ya mrembo huyo na kujionea picha kibao zenye mapozi ya
kihasara. Jitihada za kumpata ili azungumzie madai hayo hazikuzaa
matunda kwani simu yake haikuwa hewani lakini katika maelezo yake kwenye
mitandao ya kijamii amewahi kudai anasoma chuo ingawa haijajulikana ni
chuo gani.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment