Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

JEE UNAJUA YUKO WAPI SAIDA KAROLI???...HAYA NDIYO MAISHA YAKE..YANASIKITISHA NA YANATIA HURUMA SANA..SOMA HAPA

Huyu naye ana umaskini wa hatari nasikia Hata voucher ya simu hana.Sasa kuna msanii aliyeuza wa kike kama huyu? Huyu sasa ndo walimdhurumu kila kitu.Jamaa yule muhaya wa silent in club alikuwa anampa show elfu hamsini wakati yeye katengeneza Milioni mia tano.
Show za Saida mpaka Uganda zilikuwaa zinajaza ma milioni.
Tatizo huyu dada yetu alikuwa hata kuandika jina lake hajui so huyu baba akatumia hiyo kama silaha ya kumuibia.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top