Dansa mahiri wa staa wa muziki Bongo na nje ya nchi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye Moses Iyobo, amefunguka kuwa hakuna kitu kinachompa faraja kubwa kama mimba ya mpenzi wake ambaye ni staa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.
Moses Iyobo akiwa na mpenziwe ambaye ni staa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Iyobo ambaye nyuma kidogo
alipost picha katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kutoa pongezi
kwa mpenzi wake huyo kwa kumbebea ujauzito, alisema kuwa hakuna kitu
ambacho anaona fahari kama hicho.“ Mimi tu nikiwaza mtu ambaye ninampenda kwa dhati ana mimba yangu napata faraja kubwa sana hivyo kila siku namuomba Mungu ajifungue salama na ampitishe katika majaribu mazito,” alisema Iyobo.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment