“Nimekaa kwenye uhusiano na Karama kwa miaka 18 sasa lakini sioni faida yoyote, nimeshamfumania mara kibao kwenye simu mara mwanamke anamwambia kwamba akachukue nguo zake kumbe alikuwa anaishi kwangu na huko pia wanawake wengine wakimshukuru kwa mapenzi yake.”
“Bora nibaki na baba mtoto wangu ambaye niligombana naye kwa sababu ya Karama ila sasa nimeamua kubaki naye maana yeye alishatoa mpaka barua ya uchumba nyumbani kwetu na anamsaidia mama yangu,” alisema Isabela.
Isabela na Karama mwaka jana walitangaza kuoana baada ya kukaa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu lakini lengo hilo halijatimia na ndoa kuyeyuka.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment