Msanii
Elizabeth Micheal (lulu) leo Hii amewafungukia Followers wake kwa
Kuwapa Makavu live Huwa siongezagi neno Hebu soma mwenyewe Ujumbe huu
hapa hii ni Baada ya Kutupia Picha HIZI HAPO CHINI...

"Pipo always have smthng to complain.....Sasa MTU Na akili yake timamu anakuja ku comment on my post ohhhh Weka vitu vya maana������kweli!?nwei kwasababu SIKO ktk harakati za kubishana au kugombana nitatoa ushauri tu.....
1.hyo button Ya Ku follow Cdhani kama ina Sumaku kwenye jina langu useme imekuvuta,fanya uamuzi sahihi kabla hujabadilisha hyo blue kuwa green
2.this z ma personal acc....sio account Ya dunia Na Ndo maana hata wengi wenu mnao comment pumba post zenu ️ni za ovyo Lkn wala hatujawahi kuwalalamikia
3.Kama mtu unaona unahitaji kuona sana vitu vya maana unaweza ku follow BBC,CNN,ALJAZEERA kuna TBC,ITV Na vyombo vingi vya Habari Na huwa wana acc humu...!U can't deal wth my shits taratibu change green to blue....kunifollow ️ni kama kupima tu nikimaanisha ni HIARI..!j/pili Njema❤️"
PICHA ZENYEWE HIZI HAPA::


Post a Comment