MWANAMUZIKI
Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na vijana wake wakifanya maandalizi kwa
ajili ya shoo yao ya kesho Januari 8, 2015 jijini Lagos, Nigeria kwenye
hafla ya utoaji Tuzo za Mwanasoka Bora wa Afrika 2014.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment