Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

WASHIRIKI PRESHA JUU IJUMAA SEXIEST BCHELOR

 
PRESHA inazidi kupanda kwa washiriki waliobaki katika tatu bora huku kila mmoja akitaka kuonekana kuwa anafaa kuwa Ijumaa Sexiest Bchelor.

 
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' (ISB 01) .
Washiriki watatu (pichani) ndiyo walioingia fainali ambapo kilele kitakuwa ni Desemba 25, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar mshindi atapatikana.
 
Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba (ISB 08).
Ili kumpigia kura staa unayemtaka awe mshindi fanya hivi; Fungua uwanja wa sms kwenye simu yako, andika neno ISB acha nafasi kisha andika namba ya mshiriki huyo halafu tuma kwenda namba 15573. Mfano, ISB 00 kisha unatuma kwenda namba 15573.

 
Modo wa filamu za Bongo Yusufu Mlela (ISB 22).
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI. 

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top