Wanasema ukishangaa ya Musa utayaona ya
firauni. Katika hali isiyo ya kawaida, mchumba wa zamani wa mbunge wa
Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally, amesherehekea siku
yake ya kuzaliwa kwa kuvaa diapers!!
Sherehe hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Seacliff na kuhudhuriwa na wageni kibao. Jionee mwenyewe picha zake!!
Sherehe hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Seacliff na kuhudhuriwa na wageni kibao. Jionee mwenyewe picha zake!!
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment