Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi
ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal na wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa Shahada ya Uzamili
na Uzamifu kwenye Mahafali ya 2 ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya
Nelson Mandela iliyofanyika leo jijini Arusha.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment