Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MSANII WA BONGO MOVIE RIYAMA ATOA KALI YA MWAKA KWA MPIGA PICHA WA FILAMU


Hivi ni vijimambo tu.Mwigizaji wa filamu, Riyama Ally,alimfanyia surprise mpigapicha mahili wa filamu hapa nchini, Farid Uwezo kwa kumtengenezea keki yenye umbo la cammera. Ilikuwaje? Riyama anafunguka;



Udugu sio lazima kuzaliwa tumbo moja mkikinaiana mkapendana kwa dhati na mkaheshimiana basi ni undugu tosha nilianza kumjua faridi miaka saba iliopita mpaka leo amekua ndugu yangu kabla hajaanza kupiga picha mpaka sasa amekua gumzo ktk tasniayetu ya filamu
Ila hakuwai kunidharau hakuwahi kunisahau hata sikumoja tunasaidiana ktk shida na raha
Jana nikamueza nikamdanya aje tusain mkataba wakazi alipo fika akuta nimemuandalia cake ya camera
Alifurahi mpaka alikua anatetemeka nikamwambia wewe ni zaidi ya rafiki kwangu ,nduguyangu.Nakupendasana fariduwezo
Farid naealifunguka
Kiukweli siamin kilicho tokea usiku huu kweli dada yangu mpenz umenifanya nisiami kilicho tokea RIAMA ALLY kwakunifanyia hichi mungu akulinde milele na akupe maisha marefu kiukweli siamin siamian unanita kuwa kuna kazi kumbe nihichi Riyama nakupenda sana dada yangu Riyama.
Alicho nifanyia jana kiukweli sito msahau jaman dahaa mungu jaman mlinde hiyu jaman umetoka safari na uchovu uliokuanao lakin ukaona hapana lazima nimuone mdogo wangu na ukanifanyia kitu ambacho siku tarajia nakupenda sna acheni tu niseme .
Ni vijimambo tu!!!

 USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI. 

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top