
Awali, kulikuwa na kikao cha kawaida cha kujadili mambo mbalimbali ya kikazi baina yao kilichofanyika ndani ya hoteli ya Hyatt Kempisky, iliyopo Posta Jijini Dar, lakini kumbe Millen alikuwa ameandaa keki.
Mwanamitindo na mbunifu Jokate Mwegelo.
“Yaani mimi nilijua tunakutana kama tulivyopanga, lakini cha
kushangaza nikakuta watu wakiongozwa na dada yangu Millen wameniandalia
keki mbalimbali ikiwemo moja kama mdomo wangu kabisa na kidoti juu, kwa
kweli nilifurahi sana siwezi kuelezea,” alisema Jokate.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment