Aliyekuwa boyfriend wa Nicki Minaj ameumizwa na kitendo cha kupigwa kibuti kiasi kwamba anafikiria kujiua.
Kwa
mujibu wa mtandao wa TMZ, Safaree Samuels amewaambia washkaji zake kuwa
ameumizwa na kuvunjika kwa uhusiano wake wa miaka 12 na Nicki. Kutokana
na hali hiyo amekuwa akijifungia ndani usiku na mchana akivuta bangi na
amezungumza wazi kuhusu kutaka kujitoa uhai wake. Safaree anawaambia washkaji
zake kuwa hawezi kumpata tena Nicki kwasababu ana uhusiano na Meek Mill.
Anasema hiyo ni adhabu kwake kwakuwa anaamini Meek Mill ndiye
aliyemharibia kwa Nicki kwa kwa madai ya uongo kuwa alimsaliti.
Marafiki zake wamesema wanahofia kuwa hivyo si vitisho vya kupuuzia.
Marafiki zake wamesema wanahofia kuwa hivyo si vitisho vya kupuuzia.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment