Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MFANYAKAZI WA NDANI ALIYE MTESA MTOTO UKO UGANDA AFUNGWA MIAKA MINNE JELA..!!

Mahakama nchini Uganda imetoa hukumu ya miaka minne jela kwa mfanyakazi wa ndani, Jolly Tumuhiirwe, aliyepatikana na hatia ya kumtesa na kumpiga motto wa miezi 18.
Tumuhiirwe, 22, alionekana kwenye video iliyosambaa mtandaoni akimpiga bila huruma mtoto huyo aitwaye Aneela. 
Msichana huyo aliwaomba radhi wazazi wa mtoto huyo na umma kwa ujumla na kudai kuwa hakujua nini kilimtokea hadi kutenda unyama huo.
Chanzo: New Vision Uganda 
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI. 

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top