Mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda akiwa na Jackie Cliff.
MBUNIFU wa
mavazi Bongo, Martin Kadinda, amesema kuwa baada ya kuishi bachela kwa
miaka mingi amepanga kuoa ‘ soon’ mwanamke ambaye ni mpenzi wake wa siku
nyingi ili kumaliza maneno ya watu kuwa hajiwezi.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment