Staa wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
STAA wa filamu
na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amezua utata kufuatia kivazi
alichopigilia usiku wa siku ya bethidei yake iliyofanyika mwishoni mwa
wiki iliyopita Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar.Kivazi hicho alichokuwa amekivaa Shilole, kilikuwa kimeacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake jambo lililozua mjadala kwa watu kutokana na wahudhuriaji wengi wa kiume kumtolea macho na kuishia kusema;
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment