Mwanamuziki Linex akikamua na kushangiliwa na mashabiki wake.
Mmoja wa wasanii wa muziki akitoa burudani katika tamasha hilo.
MAMIA ya wakazi wa jijini Dar es Salaam jana
walifurika katika ufukwe wa Coco Beach ili kupata burudani mbalimbali,
hususani muziki, kusherehekea Sikukuu ya Krismasi ambapo Kampuni ya
Vodacom ilifanya tamasha kubwa sehemu hiyo iliyovutia watu wa kila
aina.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment