Watu saba wamefariki Igunga, mkoani Tabora, ambapo wengi wamejeruhiwa baada ya basi la Mohammed Trans lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam, kukatika 'steeering power' likaacha njia na kupinduka.
Basi hilo limepinduka leo majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment