Ni
dakika 4 za video iliyorekodiwa kutoka kwenye TV kuhakikisha tu
kilichofanywa na Mtanzania mwenzetu hakitupiti… ni Dj Tass ambae
alituwakilisha Tanzania na kutumia sehemu kubwa ya time yake aliyopewa
kupiga muziki, kuupiga muziki wa Tanzania ambapo single alizozigusa ni
pamoja na Mwana ya Ali Kiba na single za wengine kama Yamoto Band.
Tazama picha lilivyokua kwenye hii video hapa chini…
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment