Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwakilishi Mkazi wa
UNIDO nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Emmanuel Kalenzi ambaye
alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu kuaga Novemba 13, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNIDO nchini
aliyemaliza muda wake, Bw. Emmanuel Kalenzi ambaye alikwenda ofisini kwa
Waziri Mkuu kuaga Novemba 13, 2014.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment