Mwanamuziki Nicki Minaj Afunika Na Vivazai Vyake Alivyovivaa Katika Hafla Ya MTV-EMAs
Ambapo Kila Nguo Aliyoivaa ilikuwa Ikiwashangaza Mashabiki Waliohudhuria Katika Hafla Hiyo Na Kuonyesha Muonekano Wake.Alitoa Ahadi Kwa Mashabiki Wake Kwakuwa Anawapenda Basi Lazima Awe Tofauti Na Kweli Ahadi Alitimiza Ikiwemo Kuimba Wimbo Wake Mpya Kitu Ambacho Kiliwafurahisha Zaidi Mashabiki Wake. Angalia Picha Za Nicki Katika Mavazi Tofauti.





USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment