Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MTOTO AMFUMANIA MAMA YAKE AKIJIUZA NI AIBUU KUONA


Na Issa Mnally na Richard Bukosi

SHABAASH! Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Hamis mkazi wa Tandale jijini Dar, hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kumfuma mama yake mdogo akijiuza usiku. Tukio hilo la kufedhehesha lilitokea usiku wa kuamkia juzi (Jumatano) maeneo ya Sinza Mapambano ambapo mapaparazi wetu walikuwa katika operesheni ya kuwasaka wanawake wanaojihusisha na biashara hiyo haramu.
Wakiwa maeneo hayo, waandishi wetu walimuona kijana mmoja akiwa amejiinamia baada ya kumfuata na kumhoji kilichompata.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
 

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top