Zuena Mohammed akivaa nguo zake baada ya kunaswa na mteja chumbani.
Tukio hilo lilijiri chumba namba 14 ndani ya Gesti ya Mori Lodge iliyopo Sinza jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikuwa amekodi chumba hicho na kuwapanga wanaume kwa foleni kwa ajili ya kutoa huduma haramu ya ngono.
Zuena akiwa na mteja wake chumbani mara baada ya kunaswa na polisi.
OFM Watonywa. Awali, ‘makachero’ wa OFM walitonywa kuwepo kwa ishu hiyo na chanzo chake kilichodai kuk- erwa na tabia ya mrembo huyo ambaye amekuwa akitishia afya za wanaume wakiwemo vigogo wa serikali ambao ilidaiwa kuwa ni sehemu ya wateja wake.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment