Askari kanzu waliofika eneo la makaburi ambapo binti huyo aliuawa kinyama na
watu wasiofahamika, Kumradhi kwa picha hizi.
Askari akiangalia kwa makini mwili wa dada huyu ambaye ameuawa kikatili na watu wasifahamika.
mwenyezi mungu ilaze roho ya huyu dada mahali pemapeponi
Binti moja kakutwa kauwawa maeneo ya mkaburi ya kata ya nyatukala na maiti yake kuachwa pembezoni mwa kaburi.
Akitoa taarifa mtendaji wa kata ya nyatukala ambaye pia ni Diwani mh. Adamu akisimulia hali halisi juu ya mkasa huu.
Akifafanua zaidi mh. Adamu alisema kuwa baada ya kuona hali hiyo iliwabidi wafanye mawasiliano na jeshi la polisi ili wawenze kuja eneo hilo la tukio.
Aidha baada ya kufika Askari hao eneo la tukio hilo na kuona mwili huo waligundua katika mwili wake marehemu alipingwa na kitu kizito nyuma ya kisongo chake kichwani na maeneo ya mabega yake .

Mh. Adamu alizidi kusema kuwa kutokana na hali hiyo ya kuvuja damu nyingi ndiko kumesababisha Binti huyo kukutwa na mauti hayo .
Aidha Mtendaji huyo amesema kuwa chanzo cha mauaji hayo ni bado ni kitendawili katika kata hii na kusema kuwa chazo cha tukio hili halisi ni bado na jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.

Post a Comment