Staa
wa filamu ambaye anashika nafasi ya kwanza kwa kufungasha
Tanzania nzima, Efranciya Mangii ameibuka na kupasua jipu kuwa
licha ya kuzalishwa mtoto mmoja lakini hakuna mwanaume
aliyewahi kumridhisha kimahaba ( kumfikisha kileleni).
Akiteta nasi jijini Dar es Salaam,
Efranciya ambaye amewahi kukumbwa na skendo ya kujihusisha na
mapenzi ya jinsia moja kwa wanawake ( Usagaji ) alisema kila
mwanaume anayekuwa naye hamfikishi popote….
“Sijawahi na bado siamini
kama naweza kupata mwanaume anayeweza kunifikisha kileleni na
hatimaye kunifanya niyafurahie mapenzi. Hata hivyo,
ntafanyaje na mimi nimeumbwa hivi? Kikubwa ni kwamba nimezaa na ninajisikia faraja sana,” alisema Efranciya.
Msanii huyo aliyeibukia kwenye
shindano la Maisha Plus na kujizolea umaarufu mwingi, alieleza
kwamba hajawahi kujihusisha na usagaji na daima hatathubutu
kufanya hivyo.
Post a Comment