Mhandisi
kutoka Wakala wa Barabara Nchini TANROADS Ndugu Kileo akimuonesha
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli jinsi Mzani mpya wa
Vigwaza utakavyokuwa ukipima magari wakati yakitembea tofauti na mizani
mingine nchini.
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kazi ya
ujenzi inayofanyika katika Chuo Kikuu cha Muhimbili kilichopo katika
eneo la Mloganzila Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Dkt.
Magufuli alipita hapo mara baada ya kukagua ujenzi wa barabara ya
Kiwango cha Lami kutoka Kibamba kwenda Kwembe hadi Makondeko yenye urefu
wa Kilometa 17 nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi ya
Wakandarasi wakati wa ziara yake ya kutembelea na kukagua ujenzi wa
barabara ya Kiwango cha Lami kutoka Kibamba kwenda Kwembe hadi Makondeko
yenye urefu wa Kilometa 17 nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Post a Comment