Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, Bi. Shida Salum enzi za uhai.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma
Kaskazini (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, Bi. Shida Salum wakati
alipokuwa amelazwa ICU katika Hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam hivi
karibuni.
Zitto Kabwe akiwa na mama yake Shida Salum enzi za uhai wake.
MAMA mzazi
wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, Bi. Shida Salum
amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam!
Post a Comment