Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

SABABU ZINAZOPELEKEA VIJANA WENGI WA KITANZANIA KUPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA


1.Sababu ya
kwanza ni Kukubalika kwa historia na
mitazamo ya wanaume. Miaka michache
iliyopita mambo yalikuwa tofauti sana
kwani mitazamo ya watu wengi sana wa
Kitanzania ni kwamba mwanamke mzuri
na mrembo alikuwa ni yule mwenye
maumbile madogo na mwembamba.
Wanawake wembamba na wenye
makalio madogo walipewa majina
mbalimbali ya kuwasifia kama vile, EASY
TO CARRY, PORTABLE, ENGLISH FIGURE, nk
na hivyo walijipatia umashuhuri na sifa
nyingi sana kutoka kwa wanajamii.
Kutokana na fikra na mitazamo ya
wanaume wa kipindi hicho, wasichana
na wanawake wengi walichukia sana
walipoambiwa wananenepa ama wana
makalio makubwa! Kitu walicho kifanya
ili kuepukana na hilo ni kujinyima kula
ama kula vyakula ambavyo havikuwa na
mafuta.
Kuanzia miaka ya 2004 tulianza
kushuhudia historia na mitazamo ya
wanaume ikibadilika kwa kasi. Kipindi
hiki wanawake wenye maumbo
makubwa na makalio manene manene
ndio walioingia sokoni. Kila akipita
mwanamke mwenye umbo hilo
wanaume wamekuwa wakigeuka na
kukooa ama kupiga miluthi kuthihirisha
matamanio yao hadharani.
wanawake hawa wamekuwa wakipewa
majina kadhaa ya kuwasifu. kwa mfano,
tumekuwa tukisikia wakiitwa WENYE
MAUMBO KAMA MIDOLI, WALIO
FUNGASHIA, WALIOKATIKA, WALIOBEBA
MZIGO NYUMA, na hata wanaume
wengine wamekuwa wakithubutu
kutumia misemo kama KWELI UZURI WA
NYUMBA NI CHOO CHAKE na YALIYOMO
YAMOOOO! katika kuwasifia wanadada
hawa wapitapo.
Kwa sasa wanawake wembamba na
wenye makalio madogo wamekuwa
wakipewa majina ya kashfa. Kwa
mfano, ALIYEPIGWA PASI, ASIYE NA KITU
NYUMA, ASIYEWEZA KUTOFAUTISHWA KATI
YA MGONGO NA TUMBO, nk!!!!!
Hili limepelekea wanawake wengi sana
ambao hawana makalio mwakubwa
kukosa raha na hivyo kutafuta mbinu
mbalimbali ili waweze kukidhi mahitaji
ya wanaume na hivyo kuingia sokoni
kirahisi.
Wengine wamekuwa wakithubutu hata
kutumia madawa yaliyokuwa
yakitengenezwa China na kuingizwa
nchini kinyemela kwa lengo la kufanya
nao wafungashie!!!!!
2. Sababu nyingine ni Kuibuka na
kuongezeka kwa mchezo wa kufanya
mapenzi kinyume na maumbile, yaani
KUFIRANA. Mchezo huu ambao umeenea
zaidi katika majiji makubwa na pwani ya
Afrika ya Mashariki, umekuwa
ukiwafanya wanaume wengi sana
wawapende wanawake wenye makalio
makubwa na malaini ili waweze kupata
raha zaidi wakiwa wanashughulikia.
Hata hivyo, kuna watu wengine
wanaamini kuwa wanawake wengi
wenye makalio makubwa na malaini
sana huwa wanaliwa nyuma na ndiyo
maana makalio hayo yanaendelea
kunawiri siku hadi suku!
3. Sababu ya mwisho kabisa ni kwamba
wanaume wengi sana huwa wanapenda
kupewa sifa kuwa wako na wanawake
wazuri na wenye mvuto. Kwa hiyo,
kutokana na kubadilika kwa mitazamo
ya watu kuwa mwanamke mzuri ni yule
mwenye makalio makubwa, huwa
wanaume wanatamani zaidi kuwamiliki
wanawake wenye sifa hii ilimradi
wapate sifa kutoka kwa wanajamii.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top