George Tyson enzi za uhai wake.
Marehemu Tyson akiwa na Monalisa pamoja na mwanae.
Mwongozi
filamu na aliyekuwa mume wa msanii wa filamu Monalisa, George Tyson
amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari Morogoro akitokea
mkoani Dodoma.
Gari aina ya Toyota Hiace iliyomsababishia umauti Tyson
Picha kwa hisani ya Dj Choka
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment