Hit maker wa ‘Number One’, Diamond Platinumz baada ya kuwarusha
mashabiki wake nchini Marekani weekend iliyopita, amepost picha akiwa
na masanii mkubwa wa kike wa Nigeria, Tiwa Sawage wakiwa nchini
Ghana wiki hii.

Post a Comment