Msanii wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akliwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar.
Aunty alisema hayo juzi Jumatatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya hakimu Agustina Mbando, akikanusha
taarifa ya wadhamini wa Ivon, Christopher Mwaseba na Anthon Mwaseba
walioiambia mahakama kuwa mtuhumiwa alikuwa nyumbani akimuuguza mama
yake.
Ivon Bigilwa aliyemchana Aunt kwa chupa.
Msanii huyo alisema wadhamini hao wanaidanganya mahakama kwa kuwa
hivi karibuni alikuwa nchini China na aligongana naye uso kwa uso.
Post a Comment