Warembo
wawili ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wakazi wa
jijini Dar es Salaam, hivi karibuni walinaswa wakifanya vitendo vya
kifirauni hadharani bila kuhofia umati wa watu uliokuwa ukiwatazama.
Tukio
hilo la aibu lilinaswa na paparazi wetu ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya
Travertine uliopo Magomeni jijini Dar es Salaam ambapo kundi jipya la
New Five Stars lilikuwa likizinduliwa.
Katika
tukio hilo, warembo hao walioonekana kuwa bwii, walikuwa wakiserebuka
kihasara huku mmoja (Pichani juu) akionekana kujigeuza dume na kumfanyia
mwenzake mchezo mchafu.
Kama
hiyo haitoshi, demu huyo‘ alifikia hatua ya ‘kumchojoa’ mwenzake
kitendo kilichowafanya watu waliokuwa wakiwakodolea macho kupigwa na
butwaa.
“Jamani
dunia imekwisha, hawa akina dada wanafanya mambo gani haya mbele za
watu? Hii yote pombe, ama kweli pombe si chai,” alisikika dada mmoja
akimwambia rafiki yake
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment