Featured

    Featured Posts

    Udaku

    Social Icons

    Udaku

Loading...

YAJUE MAMBO MATANO KABLA YA KUMFUATA MWANAMKE BARABARANI.

1.JIAMINI;-Mwanaume anapaswa kujiamini na kuacha kujiuliza mara mbilimbili ujasiri wako ndo utakaokufanya kumpata mwanamke yeyote umpendae.2.ENDELEZA MAZUNGUMZO MAREFU;-Mwanaumeunapomfuata mwanamke hakikisha unaanzisha mazungumzo marefu ambayo yatamfanya mwanamke ajielezee na pia tambua mwanamke wanapenda wanaume wenye stori nzuri.

3.MSIFIE;-Hakikisha unamsifia mwanamke jinsi alivyovaa,anavyoongea,rangi ya nguo yake kwa kufanya hivyo itamfanya ajisikie mwenye amani mbele yako na atapenda kuwa karibu na ww.

4.AHADI ZA KUMJALI;-Mwanamke ni kiumbe dhaifu hivyo anapenda kuwa anadeka,mwambie kuwa upo kwa ajili yake na kwamba utamjali na pia fanya kitu chochote ili aamini hivyo.

5.USIJITAMBE MBELE YAKE;-Mwanamke hapendi mwanaume mwenye kujisifu kuhusu mafanikio yake ya kiuchumi bali hupenda mwanaume yule anayemweka mbele yeye kuliko mali zake.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright 2025 BONGO HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top