Baba
mdogo wangu ananitaka kimapenzi, alikuja gafla chumbani kwangu na
kuingia bila kupiga hodi kuniambia kwamba mama amezimia gafla kutokana
na ugonja wa kifafa unaomsumbua.
Bahati
mbaya wakati anaingia chumbani kwangu gafla alinikuta nikiwa uchu nikiwa
nimevaa chupi tu, sasa toka wakati huo amakua akiniangalia kwa macho ya
kimapenzi na anataka kutoka na mimi out anasema kuna jambo anataka
kuongea na mimi.
Nimefikiria
kumwambia kaka yake , lakini nahisi nikimwambia baba naweza kufanya
tatizo kuwa kubwa zaidi, naombeni ushauri wanajamii forums, sababu
sasa ameanza kunitumia message za mapenzi usiku, na huyu ni baba yangu
mdogo na amenipita miaka mingi kwa kweli, namheshimu na naogopa kumjibu
vibaya.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment