Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HIZI NDIZO DALILI ZA MWANAMKE ANAYEKARIBIA KUFIKA KILELENI.....!!!!WAKUBWA TWENDEEEEE

1: MISULI YA UKE WAKE ITAKUWA INAKAZA NA KUACHIA..
Mwanamke akiwa anakaribia kucum,kwa ile raha atayokuwa anasikia,automatically na hatoweza kujizuia,atajikuta misuli ya uke wake itaanza kukaza na kuachia,itaanza taratibu lakini kadri anavyokaribia kufika kileleni na speed ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke wake itakuwa inaongezeka.
Ninaposema misuli ya uke wake itakuwa inakaza na kuachia,namaanisha,mashine ya mwanaume ikiwa ndani ya uke wake,akiwa anakaribia kufika kileleni,utaanza kuhisi uke wake unaibana mashine yako kwa sekunde kadhaa,kisha inaachia ( kitendo cha uke wake kuibana na kuiachia mashine yako kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka afike kileleni )

2: UKE WAKE UTAZIDI KULOA AU ATASQUIRT..

Kwa kutumia maana ambayo haiko complicated sana,kusquirt ni kitendo cha mwanamke kukojoa akifika kileleni wakati wa kupeana raha na utamu..G-spot ikipata msuguano wa kutosha hapo mwanamke ataweza kusquirt na ndio maana hamu ya kukojoa wanawake wengi wanaipata katikati ya tendo la kupeana raha na utamu,Wengine wanaweza kuipata wakati wa maandalizi kama mwanaume akiweza kuichezea vizuri G-spot ya mwanamke.
G-spot ikipata msisimko wa kutosha inatoa taarifa kwa Female Prostate,Female Prostate hutengeneza hayo majimaji,yakiwa tayari,utajisikia kukojoa,ukijiachia ili yatoke yatapitia kwenye urethra kama mkojo lakini sio mkojo.
Asilimia kubwa ya wanawake,wakati wa kupeana raha na utamu kuna muda huwa wanajisikia kama kukojoa,huomba wakakojoe lakini kumbe ni majimaji ya kusquirt,hivyo muda mwingine kabla ya kumake love,kojoa kabisa ili kibofu chako cha mkojo kiwe empty ili katikati ya tendo ukisikia kukojoa,ujue unakaribia kusquirt,kwa hiyo jiachie ili uweze kupata raha na utamu wa kufika kileleni kwa njia ya kusquirt.
**Sio wanawake wote wanaweza kusquirt,kama ikitukea hujaweza usijisikie vibaya,unatakiwa kujijua kuwa upo katika kundi la wale wanawake ambao wakifika kileleni uke wao unazidi kulowa badala ya kusquirt.

3: KELELE NA MIGUNO YA KIMAHABA LAZIMA ITAZIDI..

Kama mwanamke wako ni full makelele mwanzo mpaka mwisho basi itakuwa sio rahisi kujua kama makelele ama miguno anayotoa sasa yanaashiria amefika kileleni au ni sehemu tu ya kupeana raha na utamu,Lakini wanawake wengi wanadanganya kwa kutumia kipengele hiki,lakini utajua kuwa anadanganya pale makelele ama miguno yake yakiwa ktk MPANGILIO unaoeleweka kwa mfano ( ooh,yeah,ooh,yeah,ooh,yes )kama cd iliyorekodiwa.
Makelele ya kufika kileleni mara yanakuwa HAYAELEWEKI ,na wala hayana mpangilio,mara nyingi yanakuwa deep yakiambatana na BODY LANGUAGE inayoendana na makelele au miguno anayotoa,Tofauti na hapo ujue unadanganywa..

4: CHUCHU ZAKE ZINAZIDI KUWA NGUMU..

Kwa kawaida mwanamke anapokuwa anazidi kupata hamu ya kupeana raha na utamu,Matiti yake huvimba kwa sababu ya ongezeko la speed ya mzunguko wa damu mwilini,Lakini chuchu zake zinakuwa zipo kawaida,Ingawa wapo baadhi ya wanawake chuchu zao zinakuwa ngumu pale matiti yakivimba ( Ni wachache sana sio wote ).Kwahiyo inabidi ujue mapema kabla hata ya tendo la kupeana raha na utamu halijafika katikati,pale mwanzoni tu unapokuwa unapasha nae joto,ziguse au ziminye chuchu zake taratibu kama ukizikuta ni LAINI,halafu baadae katikati ya tendo zikabadilika zikawa ngumu basi ujue kuna uwezekano ama ulifanikiwa kumfikisha kileleni au alikaribia kufika lakini hakufanikiwa.Kama ukizikuta ngumu tokea mwanzoni basi haitowezekana tena kuzitumia chuchu kama dalili ya kukujulisha kuwa amefika kileleni au bado.

5: LUGHA YA MWILI ( BODY LANGUAGE )

Akiwa anakaribia kufika kileleni au akiwa ndio amefika kileleni utakutana na bofy language zifuatazo:-

*Atakuwa anahema haraka kwa sababu internal organs na muscles zake zinahitaji oxygen zaidi ili aweze kufika kileleni salama.

*Atazidisha kujikunja kunja au kujisogeza kwako ( akiwa ametulia tu ujue bado,ongeza bidii )

*Mikono yake itakunja kunja au kufinya shuka.

* Kama mpo kwenye staili ya kifo cha mende,utashangaa ghafla ataanza kukukumbatia na kukushikilia kwa nguvu,kama kucha zake ni ndefu atakuachia alama kadhaa mgongoni au kifuani na saa nyingine anaweza akashindwa kujizuia akakung'ata.

Kama tokea uzaliwe hujawahi kukutana na mambo haya wakati wa kupeana raha na utamu basi ujue kuna uwezekano mkubwa hujawahi kufika kileleni ( kama ni mwanamke ) au hujawahi kumfikisha mwanamke kileleni ( kama ni mwanaume )..

Endelea kujifunza zaidi ukiwa na nia ya dhati kwani kila kitu kinawezekana.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top