Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Hapana chezea Sofia Skvortsova Model mkali aliyafanya VIDEO NA OMMY DIMPOZ HUKO LONDON

clip_image001Sofia Skvortsova Model atakayeonekana kwenye video ya Msanii Ommy Dimpoz wa Tanzania Hivi Karibuni, Model huyu ni maarufu sana jijini London. Sofia Skvortsova alizaliwa na kukulia Riga, Latvia. Ana asili ya Urusi, Ujerumani na Poland.
clip_image001[7]
Kazi yake ya umodel hufanyia jijini London hufanya kazi na mawakala wa mamodel. Amekuwa akifanya shughuli hiyo kwa zaidi ya miaka mitano barani Ulaya na Mashariki ya Kati. Ameshaonekana kwenye majarida kibao, filamu, matangazo na video za muziki.

clip_image001[11]
clip_image001[15]
Mfahamu zaidi kwa picha hizi:
clip_image001[9]
clip_image001[13]

clip_image001[17]
clip_image001[19]
clip_image001[21]
clip_image001[27]
clip_image001[29]
clip_image001[15]
clip_image001[23]
clip_image001[25]

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top