Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Picha: Baada ya Wolper kuzingua, Manaiki Arusha Ndoano kwa Uwoya?

Baada ya ishu yake yakutaka kumposa Wolper kugonga mwamba  hii ni kwa mujibu wa magazeti ya udaku hapa bongo, mwigizaji machachali Manaiki Sanga ‘The Don’ usiku wa jana......


 alitupia picha mtandaoni akiwa na mwanadada Irene Uwoya (Hiyo hapo juu) na kuwa “tag” mastaa kibao wa filamu wa hapa Bongo.

Hali hii ilisababisha watu wengi kuhoji kama Manaiki ameamua kumchumbia Irene baada ya Wolper kuzingua au nini?, maswali hayo hayakupata majibu lakini wapo baadhi walidai kuwa Manaiki kwasasa ana project mpya ya kutengeneza filamu ambayo itawashirikisha mastaa zaidi ya 30 wa hapa bongo, na hivyo basi Uwoya anaweza kuwa ni moja kati ya mastaa amabo watashiriki.

Tuendelee kusubiri, muda utaongea!!!.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI 

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top